• Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dkt. Pindi Chana akimkabidhi Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta nyaraka ya zawadi maalum ya ndege aina ya Tausi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. August 02,2019
  • Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta akizungumza mara baada ya kupokea ndege aina ya Tausi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.Aliyesimama pembeni mwa Rais Kenyatta ni Balozi wa Tanzania Nchini Kenya, Dkt Pindi Chana. August 02,2019
  • Ndege aina ya Tausi ambao wamekabidhiwa kwa Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta ikiwa ni zawadi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Tausi hao wamekabidhiwa kwa Rais Kenyatta na Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dkt. Pindi Chana. August 02,2019