News and Events Change View → Listing

Timu ya Taifa ya Baseball imetembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya.

Timu ya Taifa ya Baseball leo imetembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya na kupokelewa na Mhe. Balozi Dr. Pindi Chana. Balozi amewaasa wachezaji kucheza kwa hali ya juu na hatimaye waliwakilishe vema Taifa letu…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akutana na Mkuu wa Kampuni ya Ulinzi ya G4S

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ulinzi ya G4S , Bw. Steven Barry tarehe 27 Februari 2019.

Read More

Mkutano wa kuhamasisha uwekezaji kwa watanzania waishio nchini Kenya

Mkutano wa kuhamasisha uwekezaji kwa Watanzania waishio nchini Kenya ( Diaspora ) wafanyika tarehe 7 Agosti 2018 katika Ofisi za Ubalozi. Wawakilishi kutoka Kampuni ya Property International na Benki ya Equity walizungumza…

Read More

Mkutano wa kuhamasisha uwekezaji kwa watanzania waishio nchini Kenya

Mkutano wa kuhamasisha uwekezaji kwa Watanzania waishio nchini Kenya ( Diaspora ) wafanyika tarehe 7 Agosti 2018 katika Ofisi za Ubalozi. Wawakilishi kutoka Kampuni ya Property International na Benki ya Equity walizungumza…

Read More

Mkutano wa Balozi Dkt. Pindi Chana na Watanzania Waishio Nchini Kenya ( Diaspora)

Mkutano wa Watanzania Waishio Nchini Kenya ( Diaspora) na Balozi Dkt. Pindi Chana wafanyika tarehe 30 Juni 2018 katika Makazi ya Balozi yaliyopo Muthaiga, Nairobi.

Read More

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar watembelea Ofisi za Ubalozi

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar watembelea Ofisi za Ubalozi na kujionea utekelezaji wa shughuli za Ubalozi hususan zile za Kitengo Cha Uhamiaji.

Read More

Tanzania Week in Kenya April 25th to 28th, 2018

In June 2016, the Fifth phase of the Government of the United Republic of Tanzania, led by His Excellency John Pombe Joseph Magufuli, launched the Five Year Development Plan (2016/17-2020/21) with the Theme “Nurturing…

Read More

Balozi Pindi Chana atembelea mpaka wa Horohoro

Balozi Pindi Chana atembelea Mpaka wa Horohoro Leo na kukutana na Maafisa wa mpakani.

Read More