News and Events Change View → Listing

Ubalozi wa Tanzania waandaa Mkutano wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Commonwealth)

Ubalozi wa Tanzania waandaa Mkutano wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Commonwealth) uliofanyika tarehe 9 Machi 2020 katika Hoteli ya Intercontinental, Nairobi

Read More

Prof. Patrick Loch Otieno Lumumba atembelea ofisi za Ubalozi

Prof. Patrick Lumumba amtembelea Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Ofisini kwake na kujadiliana masuala mbalimbali.

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ahudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alihudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) uliofanyika tarehe 8 Septemba 2019 na kutoa Hotuba kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Mabalozi wa SADC nchini Kenya". Mkutano…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana achukua rasmi uenyekiti wa Mabalozi wa kutoka nchi za SADC

Tarehe 30 Agosti 2019, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alichukua rasmi uenyekiti wa Mabalozi wa kutoka nchi za SADC na kuongoza Kikao cha Mabalozi hao. Kikao kilifanyika katika Hoteli ya Sankara iliyopo Nairobi. Baada…

Read More