MHE.BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Mhe Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. John Stephen Simbachawene amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta, Rais wa Jamhuri ya Kenya katika Ikulu ya Nairobi, siku ya terehe 02 Septemba…

Read More

TAARIFA KWA UMMA/ PUBLIC NOTICE

TAARIFA KWA UMMA/ PUBLIC NOTICE

Read More

Ubalozi wa Tanzania waandaa Mkutano wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Commonwealth)

Ubalozi wa Tanzania waandaa Mkutano wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Commonwealth) uliofanyika tarehe 9 Machi 2020 katika Hoteli ya Intercontinental, Nairobi

Read More

SKAUTI WA MKOA KILIMANJARO KUTEMBELEA NAIROBI

Chama cha Skauti Tanzania kinapenda kutoa taarifa kuwa skauti wake kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wanatarajia kufanya ziara katika Mji wa Nairobi tarehe 04 Septemba 2019.

Read More

Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2019

About S!TE 2019   The 5th edition of Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2019 will be held from October 18th to 20th 2019  at  Dar es Salaam Tanzania’s commercial…

Read More

Prof. Patrick Loch Otieno Lumumba atembelea ofisi za Ubalozi

Prof. Patrick Lumumba amtembelea Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Ofisini kwake na kujadiliana masuala mbalimbali.

Read More

Mabalozi wapya wa nchi mbalimbali watembelea Ofisi za Ubalozi

Mabalozi wa Czech na Zimbabwe wamtembelea Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ofisini kwake na kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano. 

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ahudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alihudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) uliofanyika tarehe 8 Septemba 2019 na kutoa Hotuba kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Mabalozi wa SADC nchini Kenya". Mkutano…

Read More