Recent News and Updates

Mhe. Balozi Dkt Simbachawene akabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Eritrea

Tarehe 15.7.2021 Balozi wa Tanzania ambaye yupo accredited nchini Eritrea aliwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais Mhe Isaias Afwerki katika jengo la ofisi maalum ya Rais anapofanyia shughuli za kidiplomasia mjini… Read More

RAIS SAMIA NA UJUMBE WAKE WAREJEA NYUMBANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kumaliza ziara rasmi ya siku… Read More

RAIS SAMIA AHUTUBIA MABUNGE YA KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amehutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya) Jijini Nairobi tarehe 05, Mei, 2021.Akiwahutubia wabunge hao wa Mabunge hayo… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in Kenya

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in Kenya